Serikali ya wamu ya tano imefanya maajabu kwenye sekta ya madini- Biteko
Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
Waziri wa
Madini, Doto Biteko akitoa salamu za wizara hiyo kwenye mkutano wa hadhara wa
Makamu Rais wa Tanzania, Mama Samia Suluhu Hassan uliofanyika katika Wilaya ya
Sikonge mkoani Tabora.
Mama Samia
anaendelea na ziara yake ya siku tano mkoani Tabora aliyoianza Februari 21,
2019 ambapo hii leo amekagua na kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa ofisi za
Halmashauri ya Sikonge pamoja na kuzungumza na wananchi kupitia mkutano wa
hadhara uliofanyika katika uwanja wa TASAF.
Na George Binagi-GB Pazzo, BMG
Makamu wa Rais, Mama Samia Suluhu Hassan akisalimiana na viongozi mbalimbali wa CCM na Serikali baada ya kuwasili wilayani Sikonge.
Tazama BMG Online TV hapa chini
No comments: