LIVE STREAM ADS

Header Ads

RC Mwanza ataka shirika la KIVULINI lishirikishwe ugawaji vitambulisho vya JPM

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
Mkuu wa Mkoa Mwanza, John Mongella leo Februari 04, 2019 amewakabidhi Wakuu wa Wilaya zote mkoani Mwanza, vitambulisho elfu 55 vya wafanyabiashara wadogo awamu ya pili. Akizungumza kwenye zoezi hilo, Mongella amewahimiza Wakuu wa Wilaya, Wakurugenzi wa Halmashauri, Manispaa, Jiji pamoja na watendaji kushirikiana na shirika la KIVULINI ili kuhakikisha zoezi hilo linatekelezwa vyema hadi ifikapo Machi Mosi mwaka huu.
Tazama BMG Online TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.