LIVE STREAM ADS

Header Ads

Makamu wa Rais akagua kile Kituo cha Afya cha “Injinia Soma Hiyo”

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
Makamu wa Rais wa Tanzania, Mama Samia Suluhu Hassan ameweka jiwe la ujenzi wa Kituo cha Afya Igagula kilichopo Wilaya ya Uyui mkoani Tabora, kinachojengwa kwa fedha za serikali zaidi ya shilingi milioni 400 pamoja na nguvu za wananchi.

Umaarufu wa Kituo hicho ambacho ni kipya ulianza baada ya Mkuu wa Mkoa Tabora, Aggrey Mwanri kufanya ziara wakati ujenzi wake unaanza mwishoni mwa mwaka jana na wakati na wakati akikagua ubora wake akawa anamuuliza maswali mhandisi wa Mkoa kwa kusema “injia soma hiyo”.
Na George Binagi-GB P azzo, BMG
Ujenzi wa Kituo hicho unaendelea kwa kasi.
Makamu wa Rais, Mama Samia Suluhu Hassan akipanda mche wa mti baada ya kukagua ujenzi wa Kituo cha Afya Igagula na kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa Kituo hicho, hii leo.
Tazam BMG Online TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.