LIVE STREAM ADS

Header Ads

UVCCM mkoani Geita watakiwa kuwa imara

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
Mjumbe wa Halmashauri Kuu Taifa ya Chama cha Mapinduzi (MNEC) Mkoa Geita, Idd Kasimu Idd amewataka vijana wa chama hicho UVCCM, kuwa wazalendo kwa kuhakikisha wanashiriki kwenye shughuli za maendeleo huku wakizingatia umuhimu wa suala la michezo.
Na Joel Maduka, Bukombe-Geita
Tazama BMG Oonline TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.