LIVE STREAM ADS

Header Ads

Serikali kuja na sheria ya kila mwananchi kuwa na bima ya afya

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Samia Suluhu Hassan ametoa kauli hiyo hii leo kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye uwanja wa Simbo, Wilaya ya Igunga mkoani Tabora alikoanza ziara ya kikazi ya siku tano. 
Na George Binagi-GB Pazzo, BMG
Mkuu wa Mkoa Tabora, Aggrey Mwanri akitoa salamu za mkoa kwenye mkutano wa hadhara wa Makamu wa Rais, Mama Samia Suluhu Hassan uliofanyika wilayani Igunga.
Naibu Waziri wa OR-TAMISEMI, Mwita Waitara akikata utepe kuashiria uzinduzi na makabidhiano ya gari la wagonjwa kwa ajili ya Kituo cha Afya Simbo lililotolewa na Mbunge wa Jimbo la Manonga wilayani Igunga.
Tazama BMG Online TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.