RC Mwanza ampongeza Mkurugenzi mpya CRDB “tulisoma wote”
Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
Mkuu wa Mkoa
Mwanza, John Mongella amempongeza Mkurugenzi Mtendaji mpya wa Benki ya Ushirika
na Maendeleo Vijijini (CRDB), Abdulmajid Nsekela kwa kuchaguliwa kushika nafasi
hiyo.
Pongezi hizo
za RC Mongella, zilitolewa jana jioni (Januari 29, 2019) na Mkuu wa Wilaya
Ilemela, Severine Lalika (pichani juu) kwenye hafla ya kumtambulisha Nsekela kwa wafanyakazi
na wateja wa benki ya CRDB Kanda ya Ziwa Mwanza na Shinyanga, iliyofanyika Gold
Crest Hotel Jijini Mwanza.
Na George Binagi-GB Pazzo, BMG
Mfanyabiashara na Mkuu wa Mkoa Mstaafu, Said Meck Sadick akizungumza na wanahabari kwenye hafla hiyo ambapo alitoa rai kwa mabenki mbalimbali nchini ikiwemo CRDB kupunguza riba ya mikopo kwa wateja wake.
Tazama BMG Online TV hapa chini
No comments: