LIVE STREAM ADS

Header Ads

Kiasi kikubwa cha madini chagundulika Butiama, Serikali yatoa tahadhari

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com

Godson Kamihanda kutoka Taasisi ya Jiolojia na Utafiti wa Madini Tanzania (GST) akizungumza wakati wa mafunzo ya siku mbili kwa wachimbaji wadogo wa dhahabu yaliyoanza leo Januari 04, 2018 katika Kata ya Buhemba Wilaya ya Butiama mkoani Mara.

Taasisi hiyo imefanya utafiti wilayani Butiama na kugundua kiasi kikubwa cha madini ambapo Serikali kupitia Wizara ya Madini inatarajia kujenga Kituo cha Umahiri katika Wilaya hiyo lengo likiwa ni kusaidia utoaji wa elimu kwa wachimbaji wadogo ili wafanye shughuli zao kwa tija. Vituo vya aina hiyo pia vinatarajiwa kujengwa Mpanda, Songea, Chunya, Tanga, Bariadi na Bukoba kwa gaharama ya shilingi Bilioni 11.9.
Naibu Waziri wa Madini, Doto Biteko akifungua mafunzo kwa wachimbaji wadogo wa dhahabu wilayani Butiama.
BMG Online TV

No comments:

Powered by Blogger.