Mkurugenzi mpya CRDB aeleza changamoto aliyoachiwa na mtangulizi wake
Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
Mkurugenzi
Mtendaji mpya wa Benki ya Ushirika na Maendeleo Vijijini (CRDB), Abdulmajid
Nsekela (pichani), amewashukru wateja wa benki hiyo kwa kuendelea kutumia huduma za benki
hiyo na kuwaahidi huduma bora zaidi.
Aliyasema
hayo jana jioni (Januari 29, 2019) kwenye hafla ya kutambulishwa kwa wateja na
wafanyakazi wa benki ya CRDB Kanda ya Ziwa Mwanza na Shinyanga, iliyofanyika
ukumbi wa Gold Crest Hotel Jijini Mwanza.
Nsekela
alitumia fursa hiyo kuweka bayana changamoto aliyoachiwa na mtangulizi wake,
Dkt. Charles Kimei.
Na George Binagi-GB Pazzo, BMG
Mkurugenzi Mtendaji mpya wa Benki ya Ushirika na Maendeleo Vijijini (CRDB), Abdulmajid Nsekela (mwenye tai nyekundu), akiwa kwenye picha ya pamoja na wafanyakazi wa benki hiyo Kanda ya Ziwa.
Tazama BMG Online TV hapa chini
No comments: