LIVE STREAM ADS

Header Ads

Msimamo wa Kanisa la AICT kuhusu Serikali ya Awamu ya Tano

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com

Na George Binagi-GB Pazzo, BMG
Askofu Mkuu wa Kanisa la Africa Inland Church Tanzania (AICT) Dayosisi ya Mwanza, Askofu Philipo Magwano akieleza msimamo wa kanisa kwa serikali ya awamu ya tano chini ya Rais Dkt. John Pombe Magufuli, baada ya kuwekwa wakfu na kusimikwa kazini katika ibada maalum iliyoongozwa na Askofu Mkuu wa kanisa hilo nchini, Askofu Mussa Magwesela katika kanisa la AICT Makongoro Jijini Mwanza hii leo, Disemba 23, 2018. Tazama BMG Online TV

No comments:

Powered by Blogger.