LIVE STREAM ADS

Header Ads

Mwenyekiti wa Chipukizi UVCCM Taifa aongoza kikao cha Kamati ya Uendeshaji Chipukizi

Wasiliana na BMG kupitia 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com kwa huduma za Habari na Mangazo.

Mwenyekiti wa Chipukizi wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Taifa Comred Nimka Stanley Lameck akizungumza wakati akifungua kikao cha Kamati ya Uendeshaji ya Chipukizi Taifa jana Septemba 29, 2018 katika ofisi ndogo za UVCCM Upanga Jijini Dar es Salaam.
Mwenyekiti wa Chipukizi wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Taifa Comred Nimka Stanley Lameck, akizungumza kwenye kikao hicho
Wajumbe wa kikao wakiwa wamesimama kuwaombea waliopoteza maisha katika ajali ya kivuko cha M. Nyerere kilichozama Septemba 20, 2018 wilayani Ukerewe.
Katibu wa Idara ya Uhamasishaji na Chipukizi Taifa, Comred Hassan Bomboko ambaye pia ni Msimamizi Mkuu wa Chipukizi akizungumza katika kikao cha Kamati ya Uendeshaji Chipukizi kilichoketi jana Jijini Dar es salaam.
Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Taifa, Mwl. Raymond Mwangwala akizungumza wakati wa kikao hicho.
Makamu Mwenyekiti wa Chipukizi Taifa Ndg. Pili Hassan Suluhu akizungumza wakati wa kikao hicho.
Wajumbe wa kikao cha Kamati ya Uendeshaji ya Chipukizi wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) Taifa wakiwa kwenye picha ya pamoja. 
Picha na Fahadi Siraji @UVCCM

No comments:

Powered by Blogger.