LIVE STREAM ADS

Header Ads

Rais Magufuli azindua kiwanda cha Sayona Jijini Mwanza

Wasiliana na BMG kupitia 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com kwa huduma za Habari na Mangazo.

Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli jana amezindua kiwanda cha vinywaji baridi cha Sayona Drinks Ltd kilichopo Nyakato Jijini Mwanza, kinamilikiwa na kampuni ya Motisun Group Limited.
Rais Dkt.Rais Magufuli (katikati) akiwa pamoja na Mkurugenzi wa kiwanda cha Sayona (kushoto) pamoja na Mwenyekiti wa CCM mkoani Mwanza, Dkt.Antony Diallo (kulia).
Viongozi na wananchi mbalimbali wakimlaki Rais Magufuli
Mkurugenzi wa kiwanda cha Sayona (kushoto) pamoja na Mwenyekiti wa CCM mkoani Mwanza (kulia) wakifuatilia uzinduzi wa kiwanda cha Sayona Mwanza
Rais Magufuli akizungumza kiwandani hapo
Rais Magufuli pia alipokelewa na jumbe za mabango mbalimbali kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika uwanja wa Mwatex Nyakato Jijini Mwanza, baada ya kufanya uzinduzi wa kiwanda cha Sayona.
Mkuu wa wilaya ya Magu ambaye pia ni Kaimu Mkuu wa Wilaya ya Ilemela, Khadija Nyembo akitoa salamu zake kwenye mkutano wa hadhara uwanja wa Mwatex.
Mkuu wa mkoa wa Mwanza, John Mongella akitoa utambulisho kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika uwanja wa Mwatex
Wananchi na viongozi mbalimbali akiwemo Katibu wa UVCCM mkoani Mwanza, Mariam Amiry
Bonyeza HAPA habari zaidi

No comments:

Powered by Blogger.