LIVE STREAM ADS

Header Ads

Mwekezaji Simanjiro atakiwa kutoa mikataba kwa wafanyakazi

Wasiliana na BMG kupitia 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com kwa huduma za Habari na Matangazo.

Naibu Waziri wa Madini Mwl. Doto Mashaka Biteko amemtaka Bw. Raphael Mollel ambaye ni Mkurugenzi wa kampuni ya Alex Shayo & Partners inayochimbaji madini ya Rubi katika Kijiji cha Kitwai A wilayani Simanjiro, kuingia kuingia makubaliano/ mikataba na wachimbaji ili kila upande unufaike na madini hayo.
Mkuu wa wilaya Simanjiro, Mhe. Zephania Chaula akizungumza wakti wa mkutano baina ya Naibu Waziri wa Madini Mwl. Doto Biteko na wachimbaji wa madini ya Rubi katika Kijiji cha Kitwai A.

No comments:

Powered by Blogger.